MADALALI WALIPE KODI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi William Lukuvi amesema sifa ya Dalali sio tu kujua kusoma na kuandika bali lazima wawe na Ofisi na walipe kodi ya Serikali. “Dalali akikuomba kodi ya mwezi mmoja mwambie akupe risiti ya EFD kama anayo, na sifa za Madalali sio tu kujua kusoma na kuandika hapana, lazima